1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kurunzi Ujerumani - Soko la Mayai Ujerumani

19 Oktoba 2023

Ujermani inazalisha asilimia 15.1 ya mayai yote katika soko la Umoja wa Ulaya. Kwa wastani, kila Mjerumani hula mayai 239 kwa mwaka, Mayai bilioni 20 kwa jumla. Itazame vidio hii iliyoandaliwa na Lennart Attenberger.

https://p.dw.com/p/4XleT
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi Ujerumani

Vidio ya habari na matukio