1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kurejesha uendeshaji baiskeli mitaani mjini Johannesburg

9 Agosti 2023

Wengi hawapendi uendeshaji baiskeli nchini Afrika Kusini. Lakini mjini Johannesburg kundi linalojiiita 'genge la Waendeshaji‘ linabadili mtizamo huo kwa kuwaleta watu wa tabaka mbalimbali na kufanya uendeshaji baiskeli mijini kuwa jambo la kufurahisha.

https://p.dw.com/p/4UxS1