1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kura zinahesabiwa Zambia baada ya uchaguzi

Josephine Karema13 Agosti 2021

Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Zambia baada ya uchaguzi mkuu Alhamisi uliokuwa na upinzani mkali kati ya rais Edgar Lungu na kiongozi mkuu wa upinzani Hakainde Hichilema. Kwa zaidi sikiliza mahojiano.

https://p.dw.com/p/3ywkI