1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kunani ndani ya NCCR- Mageuzi?

George Njogopa26 Oktoba 2022

Chama cha upinzani nchini Tanzania, NCCR- Mageuzi kimeendelea kuandamwa na mzozo wa uongozi ambako hii leo baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuenguliwa wakisema kumekuwa na mkono kutoka nje unaotumika kuvuruga chama hicho. Kimetuhumu kikao kilichokutana hivi karibuni kikisema kilifanyika kinyume cha katiba huku baadhi ya wajumbe wakighushi nyaraka. George Njogopa alikuwa na haya kwa kina.

https://p.dw.com/p/4IieW