1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kukuza michezo kwenye maji Niger

Hawa Bihoga
18 Mei 2022

Mto Niger mbali na kutumiwa kwa shughuli zingine za maendeleo,wadau wa michezo kwenye maji wanautumia kukuza talanta za vijana wadogo, ikiwemo kuogelea, mbio za mitumbwi. Wanalo tumaini la kuibua wanamichezo, na mabalozi wazuri wa michezo ya majini.

https://p.dw.com/p/4BT10