1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kufungiwa kwa radio za BBC na VOA nchini Burundi

Daniel Gakuba
9 Mei 2018

Hivi karibuni Burundi imezifungia radio za kimataifa za BBC na VOA. Katika makala ya Kinagaubaga inazungumza na Karenga Ramadhani mwenyekiti wa baraza la habari la taifa. Ungana naye Daniel Gakuba kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/2xQMp