1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi Tanzania

Josephat Charo
6 Julai 2022

Athari za mabadiliko ya tabia nchi zimeendelea kushuhudiwa katika mataifa mbali mbali Tanzania ikiwapo, huku sekta ya kilimo ikitajwa kuathirika zaidi. Ripoti ya mapitio ya mpango kabambe wa kuendeleza kilimo Afrika inaitaja Tanzania kama nchi ambayo haijafanya vizuri katika uwekezaji wa kuhimili athari za mabadiliko ya tabia nchi. Ungana na Veronica Natalis katika makala ya Mtu na Mazingira.

https://p.dw.com/p/4Dlwe