1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Korti yamuidhinisha Mike Sonko kuwania ugavana wa Mombasa

Saumu Njama Athuman13 Julai 2022

Mahakama kuu mjini Mombasa imeiagiza tume ya IEBC kumruhusu Mike Sonko kuwania kiti cha ugavana. Katika uamuzi wake Jaji Stephen Githinji leo Jumatano amesema tume ya uchaguzi haikutenda haki kwa kumfungia nje gavana huyo wa zamani wa Nairobi. Hatua hii ina maana gani kwa siasa za kaunti ya Mombasa? Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Njama na mchambuzi wa siasa Maimuna Mwidau.

https://p.dw.com/p/4E5Dc