1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Afrika wachangamkia Kongamano la Kikatoliki Lisbon

3 Agosti 2023

Kongamano la kimataifa la vijana wa kikatoliki linaendelea mjini Lisbon, Ureno likihudhuriwa na vijana sawia na viongozi wa dini kutoka mataifa mbalimbali. Selina Mdemu amezungumza na Padri Joseph Peter Mosha, Paroko na Kapelano wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam na Mlezi wa Vyuo vikuu wa Jimbo la Dar es Salaam anaeshiriki kongamano hilo na amemuuliza kuhusu ushiriki wa vijana kutoka Afrika.

https://p.dw.com/p/4Ujl7