Kongamano la lugha ya Kiswahili mjini Nairobi,Kenya
26 Agosti 2009Matangazo
Grace Kabogo alizungumza na Omar Babu Marijani, Mhadhiri wa
Kiswahili, mwandishi wa vitabu na mwandishi wa habari,
anayehudhuria kongamano hilo na alianza kumuuliza hasa lengo kuu
la kongamano hilo:
Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo
Mhariri:Abdul-Rahman