1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la siku mbili la Vyombo vya Habari laanza Bonn

Amina Mjahid19 Juni 2023

Kongamano la kimataifa la vyombo vya habari lililotayarishwa na DW limeanza hii leo kwa siku mbili mjini Bonn Ujerumani. Kuishinda Migawanyiko ndio mada ya kongamano hili la 16 lililowashirikisha zaidi ya wadau 100 wa vyombo vya habari

https://p.dw.com/p/4SkkH