1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani

20 Machi 2024

Wanahabari na wanaharakati wa uhuru wa vyombo vya Habari Tanzania wamekuwa wakiikosoa mamlaka ya mawasiliano ya nchi hiyo TCRA kwa kujigeuza hakimu, shahidi na mtoaji wa adhabu kwa wakati mmoja na hivyo kubana uhuru wa kujieleza. Mohammed Khelef, amezungumza na meneja wa Huduma za Utangazaji wa TCRA Andrew Kisaka akiwa Mbeya Tanzania kandoni mwa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani.

https://p.dw.com/p/4dvbj