1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la biashara Tanzania na EU lafikia tamati

George Njogopa24 Februari 2023

Serikali ya Tanzania imesema uhusiano wake wa kibiashara na Umoja wa Ulaya umepevuka upya na kuvuka matarajio wakati pande hizo mbili zikihitimisha kongamano la siku mbili la kibishara lililomalizika siku ya Ijumaa, jijini Dar es Salaam. Sikiliza ripoti ya George Njogopa

https://p.dw.com/p/4Nwvp