1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KOMBE LA AFRIKA MASHARIKI NA KATI: Kombe la Challenge Cup la Afrika ...

8 Desemba 2003
https://p.dw.com/p/CHaj
Mashariki na kati limeingia hatua ya nusu finali nchini Sudan. Timu 4 zilizofaulu kuingia hatua hiyo ni Harambee Stars ya Kenya na Rwanda zote mbili zitacheza mwezi ujao katika finali ya kombe la Afrika la mataifa nchini tunisia.Nyengine mbili ni wenyeji Sudan na Uganda.