1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Utawala kwa geresha ya biashara

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 3 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´ Bruce Amani anakueleza jinsi unyanyasaji wa kiuchumi ulivyoendesha ukoloni, mfano ukiwa ni kampuni zilizoanzishwa na mfanyabiashara Mjerumani, Woermann.

https://p.dw.com/p/4ars2