1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Ubaguzi wa rangi kama nyenzo ya ukoloni

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 9 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´, Bruce Amani anamulika jinsi wanasayansi wa Magharibi walivyowagawanya watu kwa misingi ya rangi wakiwatukuza wazungu na kuwadunisha watu weusi barani Afrika.

https://p.dw.com/p/4as18