1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiulizo: Je ni kupiga kura au kula?

28 Oktoba 2020

Katika siku hii ya uchaguzi Tanzania Masanja Mkandamizaji ameuliza swali kuhusiana na maneno kupiga kura na kula? Sikiliza swali kwa makini kisha nawe utoe jibu lakini kwanza tazama jinsi hawa walivyolijibu kwenye #Kiulizo

https://p.dw.com/p/3kaBT