1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kituo cha kushughulikia vurugu wakati wa uchaguzi Isiolo, Kenya

20 Julai 2022

Asasi za kiusalama jimboni Isiolo nchini kenya zimezindua kituo maalum cha kushugulikia masuala ya uchaguzi ikiwemo vurugu kabla,wakati na hata baada ya uchaguzi mkuu kuandaliwa. Kituo hicho chenye makao yake mjini Isiolo,kinatarajiwa kushugulikia masuala ibuka kwa wakati ufaao na kutoa suluhu ya haraka. Isikilize ripoti yake Michael Kwena.

https://p.dw.com/p/4EPbx