1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitisho cha kutoweka kwa bioanuwai duniani

14 Desemba 2022

Takribani majuma mawili (07-19.12.2022) serikali za mataifa karibu yote duniani zimekusanyika katika Mkutano wa Kilele wa Kimataifa wa masuala ya Bioanuai, COP15, kwa lengo la kunusuru viumbe na mimea ulimwenguni. Katika makala ya Kinagaubaga, Sudi Mnette anazungumza na Mkuu wa Mazingira na Maliasili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Injinia Ladislaus Kyaruzi.

https://p.dw.com/p/4KuKS