1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitabu cha Mwanamfalme Harry “Spare” chazusha taharuki

Khelef Mohammed18 Januari 2023

Makala ya Mwangaza wa Ulaya, inaangazia kitabu kipya cha Mwana Mfalme Harry kiitwacho 'Spare', ambacho kimeshazua taharuki kote barani Ulaya, hasa kwa wafuatiliaji wa tawala za kifalme. Mohammed Khelef ndiye aliyeandaa Makala hii.

https://p.dw.com/p/4MMbQ