JamiiKiswahili Kina Wenyewe: Kiswahili kama lugha ya AfrikaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiMohammed Khelef27.11.201927 Novemba 2019Je, Kiswahili kinaweza kweli kuwa lugha ya bara zima la Afrika? Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ana mawazo hayo na hapa anamueleza Mohammed Khelef jinsi ndoto hiyo itakavyotimia.https://p.dw.com/p/3TnxmMatangazo