1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisumu bado kwafukuta. Kunani huko?

Musa Naviye20 Julai 2023

Huko Kisumu iliko ngome ya kinara wa upinzani Raila Odinga, hali imeendelea kuwa tete huku makundi ya wanaharakati ya jimbo hilo yakiikosoa idara ya polisi kwa vifo na majeruhi ya waliopigwa risasi. Watu wawili wameuawa kwa kupigwa risasi, huku mwanaharakati mashuhuri, Boniface Akatch, akikamatwa na watu wasiojulikana. Mwandishi wetu kutoka huko, Musa Naviye, alituandalia ripoti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/4UC0z