1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisa cha kwanza cha Ebola chathibitishwa Goma

15 Julai 2019

Wakaazi mjini Goma wana wasiwasi mkubwa baada ya Wizara ya afia katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuthibitisha kisa cha kwanza cha Ebola katika mji huo unaokaliwa na zaidi ya watu milioni moja.

https://p.dw.com/p/3M73z