1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Kipindi cha Karibuni cha 26.06.2021

13 Julai 2021

Msikilize Jamil Jamal au JJ nyota wa sanaa ya uigizaji wa Mombasa Kenya. JJ amejizolea sifa ya kiwango cha juu kwa uigizaji wake wa kama mtumiaji wa dawa za kulevya. Zaidi ungana na Sudi Mnette katika kipindi cha Karibuni.

https://p.dw.com/p/3wQkG
Film production in Africa
Picha: Good Karma Fiction/Kimani Waweru