1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Karibuni 05.12.2019

5 Desemba 2019

Pamoja na mambo mengine katika kipindi hiki utasikia safu ya Sadiki Ukipenda ikiwa na habari za mwamba ambao unaelezwa ukiuzunguka mara saba jinsia yako inabadilika. Ungana na Sudi Mnette ili uweze kufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/3UFkl