1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Afrika Wiki Hii

7 Julai 2024

Amina Abubakar Mjahid ana mengi katika kipindi hiki cha Afrika wiki hii, ikiwa ni pamoja na Rais wa Kenya William Ruto kutangaza mipango mipya ya kuomba mikopo na njia za kubana matumizi, baada ya mapendekezo ya kuongeza ushuru zaidi yaliokuwemo katika mswada tata wa fedha kufutiliwa mbali kufuatia maandamano ya kitaifa yaliyosababisha vifo vya watu 39.

https://p.dw.com/p/4hynp