1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Afrika Wiki Hii

7 Juni 2024

Amina Abubakar Mjahid ana mengi katika kipindi hiki cha Afrika wiki hii, ikiwa ni pamoja na kushindwa vibaya kwa chama tawala cha ANC katika uchaguzi wa bunge na Jumuiya ya Afrika Mashariki imemuidhinisha Veronica Mueni Nduva raia wa Kenya kuwa katibu mkuu wake mpya.

https://p.dw.com/p/4gnqi