1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi walichokosea Dortmund na kuyumba kwa Bayern ndio mwanzo wa mwisho wao?

29 Mei 2023

Je, ni kipi kilichowapelekea Borussia Dortmund kutolibeba taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Ujerumani kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012 na Heidenheim, ni timu inayotoka katika mji mdogo Ujerumani, imepanda daraja na itashiriki Bundesliga msimu ujao, je, tutarajie kumbukumbu za RB Leipzig? Msikilize Jacob Safari akiyachambua haya na mengine kuhusu mwisho wa msimu wa Bundesliga na Sekione Kitojo.

https://p.dw.com/p/4RwAr