1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kilichojiri katika mkutano kati ya Urusi na Afrika?

28 Julai 2023

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi na zaidi ya nchi 40 za Afrika huko St Petersburg katika mkutano wake wa kilele na viongozi wa Afrika. Moja kwa moja kutoka mjini St. Petersburg nimezungumza na mwandishi Gloria Michael, kwanza nimemuuliza yapi yamejadiliwa huko?

https://p.dw.com/p/4UWJr