1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiongozi wa upinzani Zanzibar Maalim Seif aachiliwa huru

Sudi Mnette27 Oktoba 2020

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad ameachiwa huru, baada ya kushikiliwa kwa masaa kadhaa mjini Unguja, baada ya kwenda kupiga kura ya mapema inayowahusu tu maafisa maalum. DW imezungumza nae kutaka kujua, sababu za kukamata kwake.

https://p.dw.com/p/3kVW2