1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinyang'anyiro kikali chashuhudiwa Kilifi kati ya Ruto na Odinga

9 Agosti 2022

Katika kaunti ya Kilifi ukanda wa kaskazini wa pwani ya Kenya kunashuhudiwa kinyang'anyiro kikali kati ya wagombea urais Raila Odinga na William Ruto na wagombea nafasi ya ugavana, Gideon Mung'aro, Aisha Jumwa wa chama cha UDA na Geoge Kithi wa chama cha PAA.

https://p.dw.com/p/4FKFZ

Yeyote atakayeshinda katika hii anatarajiwa kubadili mkondo wa siasa za eneo hili ambalo limeshuhudia kwa ujumla hali ya utulivu siku ya Jumanne wakati Wakenya walipojitokeza vituoni kupiga kura. Ili kujua jinsi uitikiaji wa vijana na wanawake ulivyokuwa vituoni, Josephat Charo amezungumza na Ancilla Masika Gari, mwandishi habari wa Kilifi Mjini.