1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KINSHASA:Jeshi la umoja wa ulaya kuondoka

13 Novemba 2006
https://p.dw.com/p/CCtB

Wanajeshi wa umoja wa nchi za ulaya wanatarajiwa kuondoka kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa kihistoria wa mwezi ulio pita nchini humo.