1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga aachiliwa huru

Thelma Mwadzaya20 Julai 2023

Zaidi ya watu 30 wanauguza majeraha baada ya maandamano ya kuishinikiza serikali yaliyoanza Jumatano. Kwa upande mwengine, msemaji wa kinara wa ODM, Raila Odinga ameachiliwa huru japo mlinzi wake bado anazuiliwa. Viongozi wa upinzani wa Azimio la Umoja wanairai mahakama ya kimataifa ya jinai, ICC, kuingilia kati kuituliza nchi. Thelma Mwadzaya anaarifu zaidi kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4UC28