1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinamama wajikwamua kiuchumi

15 Juni 2022

Wanawake wanaendelea kujitahidi kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Kina mama hawa waliopo Kijiji cha Paje Unguja, hutengeneza bidhaa mbalimbali ikiwemo sabuni za kuongea, mafuta ya maji na mgando pamoja na losheni ya kupaka mwilini.

https://p.dw.com/p/4Cjrc