1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga : vuguvugu la kusitisha vita Mashariki mwa Kongo

24 Oktoba 2023

Vijana wa jamii ya Banyamulenge wameanza vuguvugu la kusitisha kile wanachokiita kupiganishwa vita visivowahusu huko Mashariki mwa Kongo. Katika mahojiano ya Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na Mwanaharaki na mwanamuziki kutoka jamii hiyo Gallas.

https://p.dw.com/p/4Xx8b