1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tunahitaji kuifanyia marekebisho SUK Zanzibar - Masoud

Khelef Mohammed6 Aprili 2022

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameiambia DW kwenye mahojiano maalum ya Kinagaubaga, kwamba serikali ya umoja wa kitaifa inahitahika kufanyiwa marekebisho makubwa ili kuakisi dhamira ya kuanzishwa kwake.

https://p.dw.com/p/49QmN