1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Suala la watu kupotea Tanzania

Khelef Mohammed22 Agosti 2023

Kwenye Kinagaubaga, Mohammed Khellef anazungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Sheikh Ponda ambaye hivi karibuni alichapisha kitabu kuhusu kuhusu watu waliotoweka Tanzania. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/4VRT8