1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Slaa aelezea masaibu ya kukamatwa kwa uhaini

25 Agosti 2023

Kwenye Kinagaubaga wiki hii, mwanasiasa na aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania, Wilbroad Slaa, anazungumza na Florence Majani juu ya kile kilichojiri akiwa mikononi mwa polisi na baadaye kuachiliwa kwa dhamana akiwa na tuhuma ya uhaini.

https://p.dw.com/p/4VauS