1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga na mbunge pekee wa CHADEMA nchini Tanzania

18 Novemba 2020

Deokaji Makomba amezungumza na Aida Kheinan, mbunge pekee wa kuchaguliwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, cha nchini Tanzania. Baada ya purukushani za uchaguzi mkuu na CHADEMA kupiteza majimbo chungunzima, mwanasiasa huyo mwanamke anajiona wapi ndani ya bunge la 12?

https://p.dw.com/p/3lVZ0