1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga na Makamu wa pili wa rais- Zanzibar

Salma Said/MMT1 Desemba 2021

Ni mwaka mmoja tangu Hemed Suleiman Abdulla ateuliwe kuchukua wadhifa wa makamu wa pili wa rais wa Zanzibar akiwa ni msaidizi nambari moja wa rais wa Zanzibar. Salma Said amefanya mazungumzo ya kina.

https://p.dw.com/p/43gp2