1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga na Humphrey Polepole

Sudi Mnette23 Desemba 2021

Katika kipindi cha Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na Humphrey Polepole, mwanasiasa kijana wa Tanzania, aliyekuwa na nguvu kubwa ktk awamu ya Rais Magufuli ambae kwa sasa amejikuta ktk matatizo na chama cheke CCM pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano ya Taifa hilo TCRA.

https://p.dw.com/p/44kg3