1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugunduzi wa aina mpya ya Mbu na kitisho cha Malaria Kenya

29 Januari 2024

Kwenye Mahojiano ya Kinagaubaga, Rashid Chilumba amezungumza na Willis Akhwale, mshauri maalum kwenye Baraza la kutokomeza Malaria nchini Kenya kuhusu aina mpya ya mbu aliyogunduliwa nchini Kenya anaeweza kueneza zaidi ugonjwa wa Malaria katika kanda hiyo.

https://p.dw.com/p/4aLAs