1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Mfumo wa ubia katika miradi ya kimkakati Tanzania

Prosper Kwigize/ MMT9 Agosti 2023

Public private partnership au PPP ni utaratibu wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi unaolenga kuleta maendeleo ya haraka katika mataifa mengi ya Afrika. Prosper Kwigize anafafanua zaidi juu ya mfumo huu, mgeni wake studioni ni Kamishna wa Ubia katika kituo cha Ubia Tanzania David Kafulila

https://p.dw.com/p/4UwZl