1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Kenya, Tanzania na Uganda kuandaa AFCON 2027

29 Januari 2024

Kenya, Tanzania na Uganda zitaandaa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027. Hatua hiyo inatajwa kuwa heshima kubwa kwa nchi hizo tatu. Je, zimejipanga vipi kuelekea michuano hiyo? Katika Kinagaubaga, Sudi Mnette amezungumza na Rais wa shirikisho la soka la mpira wa mguu Tanzania TFF Wallace Karia.

https://p.dw.com/p/4bniI