1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Je, uzalendo umepotea nchini Tanzania?

Prosper Kwigize4 Julai 2023

Wakati sakata la uwekezaji wa kampuni ya DP world ya Dubai katika bandari ya Dar es Salaam likisisimua Watanzania, viongozi wastaafu, wanaharakati na vyama vya upinzani kuonekana kupinga makubaliano ya serikali, Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida Moses Machali ambaye aliwahi kuwa kinara wa upinzani bungeni ametunga na kusambaza tenzi na nyimbo akituhumu Watanzania kwa kukosa uzalendo.

https://p.dw.com/p/4TO03