1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Mahakama ya Afrika ya Haki imetimiza wajibu wake?

4 Julai 2023

Kwenye Kinagaubaga, Rashid Chilumba amemualika Jaji Imani Aboud, rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu yenye makao yake makuu mjini Arusha, Tanzania. Aboud, anaongoza jopo la majaji 11 wa mahakama hiyo ya haki ya bara zima la Afrika. Je, ni kwa kiasi gani chombo hicho kimetimiza wajibu wake tangu kilipoanzishwa mnamo mwaka 2004?

https://p.dw.com/p/4TO1v