1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Je, kuna mpasuko ndani ya UDA Mombasa?

4 Julai 2023

Hivi majuzi, kulitokea machafuko kati ya wafuasi wa mbunge wa Nyali Mohamed Ali na wale wa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki EALA Hassan Omar wakati wa zoezi la uhamasishaji mashinani la chama cha UDA mjini Mombasa. Machafuko hayo yalivuruga mkutano uliondaliwa na Katibu Mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala. Sudi Mnette amezungumza na Cleophas Malala.

https://p.dw.com/p/4TO21