1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Dkt Nasra Nassor, msemaji wa ACT sekta ya afya

Khelef Mohammed26 Julai 2022

Katika Kinagaubaga, Mohammed Khelef anazungumza na Dokta Nasra Nassor, Msemaji wa masuala ya afya wa chama cha ACT cha Tanzania. Anazungumzia jukumu la upinzani kuiwajibisha serikali hata katika wakati ambapo hawana wingi wa kutosha bungeni.

https://p.dw.com/p/4Eezw