1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: CHADEMA yatetea sera ya majimbo, yajivua stuhuma za udini

Mohammed, Khelef Mohammed31 Desemba 2012

Mohammed Khelef anazungumza na mwenyekiti wa chama kikuu nchini Tanzania, Freeman Mbowe wa CHADEMA juu ya siasa za nchi hiyo, tuhuma za udini dhidi ya chama hicho na pia kile kinachoitwa kuwa migogoro ya ndani.

https://p.dw.com/p/17BhK