1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha shida ya ardhi kwa wakimbizi wa ndani huko Laikipia Kenya

Michael Kwena23 Novemba 2023

Katika makala hii ya Michael Kwena wakimbizi wa ndani wanaoishi eneo la Kianjogu katika jimbo la Laikipia,ambao tangu mwaka wa 2007,wangali wanaishi katika vyandarua wakiwa na matumaini kwamba,siku moja serikali itatimiza ahadi yake kwao kutatua shida ya ardhi.

https://p.dw.com/p/4ZLKN